Monday 8 August 2016

NABII BG.MALISA AFANIKISHA HARAKATI ZAKE ZA KURUDISHA NYOTA ZILIZOIBIWA TANGU MWAKA 2012.

Haleluya wana wa Mungu? Katika gazeti la Nyakati tole Na. 05B3 la tarehe 08-14 April, 2012. iliandikwa somo hilo hapo juu ikiwa tarehe May 4, hadi May 6 mwaka 2012. Ilitangazwa gazetini. Mtumishi awaye yote sina tatizo naye, tena huyo nabii wa Bwana Kutoka Mwanza. Katika ujana wake anamuishia Mungu.
Hili somo la kurudisha nyota zilizoibwa, kibiblia ni sahihi? na kama ni hivyo, Mtumishi wa Mungu Nabii BG Malisa alianza safari ya kurudishaNyota za watu mbalimbali zilizokua zimeibiwa kimiujiza na kuzirudisha kwa kiwango kikubwa sana hali iliyofanya wakazi wa jiji la Mwanza kumiminika kwa kiwango kikubwa sana katika kanisa la Nabii huyo na hata wageni kutoka nje ya Tanzania na pande zote za Dunia. Nabii BG Malisa alianza safari yake hiyo Tangu mwaka 2012 na kufikia mwaka 2016 amekua kioo na msaada mkubwa kwa watu duniani,hii imepelekea Nabii BG Malisa kuonekana namba moja katika Manabii wenye nguvu ndani ya Tanzania na Kuingia kwenye orodha ya Watumishi maarufu Afrika na dunia nzima kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment

edwinmalima88@gmail.com

Comments system

[facebook] [disqus] [facebook][disqusss] [blogger][facebook] [facebook][blogger] [disqus][facebook][blogger] [blogger][disqus][facebook]

Disqus Shortname