Guta66.blogspot.com kwa mafanikio zaidi katika biashara na tangazo lako(Advertise with Guta66.blogspot.com to reach more customer and for profit).
Saturday, 6 August 2016
NINAWEZA KUACHIA NGOMA MBILI KWA MPIGO AUGUST 13 – FID Q.
August 13 ni siku special kwa mashabiki wa Fareed Kubanda aka Fid Q. Ni siku aliyozaliwa na mwaka huu ana zawadi nzuri zaidi kwao.
“Tutarajie kitu kikubwa na tofauti, watu walishajua tarehe August 13 tunaachia vitu,” ameiambia Guta66.com.
“Tena stock inavyoonesha huenda tukafanya double release lakini tutatoa tu kwasababu stock ni nyingi sio labda ya pressure ya soko au nini,” ameongeza.
“Sababu kumbuka mimi ni mtu ambaye natoa ngoma moja kwa mwaka, nimegundua kwamba siku hizi watu wanasikiliza na wanaelewa haraka kwahiyo labda ninaweza nikawafanyia mbili kwa mpigo.”
photos
bongo fleva
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comments system
[facebook]
[disqus]
[facebook][disqusss]
[blogger][facebook]
[facebook][blogger]
[disqus][facebook][blogger]
[blogger][disqus][facebook]
No comments:
Post a Comment
edwinmalima88@gmail.com