Saturday 3 December 2016

ALMASI MADINI ARUDI NA SWEET

Msanii wa kizazi kipya anaetambulika zaidi kwa jina la Almas Madini kutoka Tabora mwenye maskani yake jijini Mwanza amerudi upya na ngoma kali.

Almasi Madini ametoka na ngoma inayokwenda kwa jina la SWEET ikiwa imetayarishwa na kuandaliwa chini ya studio za HB Production za hapa jijini Mwanza Tanzania Rock City.

Pia Almasi Madini ameonekana kua katika harakati za kuhakikisha anapata usimamizi mzuri wa kazi zake,na ameiambia Guta66.blogspot.com alipokutana na Edwin84 kua anahitaji Manager mwenye mtazamo chanya ili kuhakikisha anafika mbali na kutimiza ndoto zake.

Almas Madin ameachia video ya nyimbo hiyo pia.N a kwa mawasiliano unaweza kumchek kuptia edwinmalima88@gmail.com au Hildavet84@gmail.com ili kumfikia kiurahisi.

Guta66.blogspot.com inaendelea na mpango wa kuibua wasanii wachanga.


No comments:

Post a Comment

edwinmalima88@gmail.com

Comments system

[facebook] [disqus] [facebook][disqusss] [blogger][facebook] [facebook][blogger] [disqus][facebook][blogger] [blogger][disqus][facebook]

Disqus Shortname