Monday 16 January 2017

Rapper Jonacy a.k.a Ninja Katika Harakati Za Kuachia Ngoma



Rapper maarufu anaetikisa jiji la Mwanza ama Rock City kwa sasa na akiwa bado anaoneka kama Underground mwenye uwezo mkubwa katika Music wa Hip Hop amekua gumzo.

Jonacy a.k.a Ninja ni moja kati ya wanaharakati wa Hip Hop hatari sana kwa sasa.Jonacy aliongea live na kufunguka juu ya kile kinachosemwa kua ameonekana akiwa katika maeneo fulan ya Lumala Nyasaka Msumbiji studio za Black Policy.

Jonacy amekili  juu ya hilo na kuongea na kulifungukia suala hilo alipokutana na Edwin84 wa Guta66.blogspot.com.

Ngoma hiyo inayotayalishwa na producer anaekuja kwa kasi hivi sasa jijini mwanza katika studio hizo inaonekana kuja kuteka anga la music bongo na hata East Africa kwa ujumla.

Katika ngoma hiyo Jonacy amemshirikisha msanii maarufu Tanzania na jina la msanii huyo ataliweka wazi pale tu ngoma hiyo hatari itakapokamilika kutokana na suala zima la kiuongozi na kuepusha aina yoyote ya kuonekana kutafuta kiki.

Jonacy a.k.a Ninja anakaribisha ushirikiano wa kimawazo,kimusic,sapot,na kuhitaji pia Management nzuri juu ya music aufanyao.

Kwa mawasiliano ama info kibao unaweza kumchek kuptia facebook ac yake # Jonacy Ninja,Twitter ac # Ninja Jonacy na pia kupitia Blog ya kijanja Guta66.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment

edwinmalima88@gmail.com

Comments system

[facebook] [disqus] [facebook][disqusss] [blogger][facebook] [facebook][blogger] [disqus][facebook][blogger] [blogger][disqus][facebook]

Disqus Shortname