Saturday 21 January 2017

Jonacy Azid Kuikimbiza Rock City.

Rapper hatari na mwenye flow za nguvu Jonacy aka Ninja ameendelea kua ktk headline jijini mwanza.

Rapper huyu Mwenye asili ya Rocky City(Ngosha),msukuma mwenye talent ama kipaji cha hali ya juu yuko ktk harakati ya kuipua kibao chake.

Jonacy amefanikiwa kupata nafasi ya kufanya ngoma na msanii kutoka Nigeria na pia beats ya Ngoma hiyo imetayarishwa na Edwin84 wa Black Policy Records na Clon Baba kutoka Nigeria.

Jonacy amewasihi mashabiki Wote ndani ya  Tanzania,East Africa na Africa kwa ujumla kukaa mkao wa kula.

Monday 16 January 2017

Rapper Jonacy a.k.a Ninja Katika Harakati Za Kuachia Ngoma



Rapper maarufu anaetikisa jiji la Mwanza ama Rock City kwa sasa na akiwa bado anaoneka kama Underground mwenye uwezo mkubwa katika Music wa Hip Hop amekua gumzo.

Jonacy a.k.a Ninja ni moja kati ya wanaharakati wa Hip Hop hatari sana kwa sasa.Jonacy aliongea live na kufunguka juu ya kile kinachosemwa kua ameonekana akiwa katika maeneo fulan ya Lumala Nyasaka Msumbiji studio za Black Policy.

Jonacy amekili  juu ya hilo na kuongea na kulifungukia suala hilo alipokutana na Edwin84 wa Guta66.blogspot.com.

Ngoma hiyo inayotayalishwa na producer anaekuja kwa kasi hivi sasa jijini mwanza katika studio hizo inaonekana kuja kuteka anga la music bongo na hata East Africa kwa ujumla.

Katika ngoma hiyo Jonacy amemshirikisha msanii maarufu Tanzania na jina la msanii huyo ataliweka wazi pale tu ngoma hiyo hatari itakapokamilika kutokana na suala zima la kiuongozi na kuepusha aina yoyote ya kuonekana kutafuta kiki.

Jonacy a.k.a Ninja anakaribisha ushirikiano wa kimawazo,kimusic,sapot,na kuhitaji pia Management nzuri juu ya music aufanyao.

Kwa mawasiliano ama info kibao unaweza kumchek kuptia facebook ac yake # Jonacy Ninja,Twitter ac # Ninja Jonacy na pia kupitia Blog ya kijanja Guta66.blogspot.com.

Saturday 3 December 2016

Guta66.blogspot.com: Edwin84 CLASSIC CLOTHES SHOP YAKIDHI MAHITAJI YA W...

Guta66.blogspot.com: Edwin84 CLASSIC CLOTHES SHOP YAKIDHI MAHITAJI YA W...: Baada ya kuanza kutolewa kwa huduma ya uuzaji wa Nguo na viatu vya Kisasa kabisa na Edwin84 Classic Clothes Shop lililopo maeneo ya Nyasak...

normal

Edwin84 CLASSIC CLOTHES SHOP YAKIDHI MAHITAJI YA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA

Baada ya kuanza kutolewa kwa huduma ya uuzaji wa Nguo na viatu vya Kisasa kabisa na Edwin84 Classic Clothes Shop lililopo maeneo ya Nyasaka Msumbiji wakazi wa Mwanza wameonekana kunufaika zaidi.

Waakazi wa eneo hilo wamepongeza kufunnguliwa kwa duka hilo na kuwaasa watu wenye uwezo kufungua maduka kama hayo zaidi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma bora na za kisasa kwa urahisi zaidi.

Edwin84 Classic Clothes Shop ni moja ya sehemu inayoweza kumpatia mwanachi huduma bora zaidi kwa nguo safi,nzuri,za kisasa,zenye kudumu muda mrefu sana na zenye ubora wa hali ya juu sana.

Unaweza kupata huduma ukiwa popote pale Tanzania kutoka kwa msambazaji mwenye uzoefu na mbinu bora zaidi akiwa ni mtaalamu wa masoko anaepatikana kwa urahisi sana kutoka katika duka hilo.

Hildavet84 ni mmoja kati ya wamiliki wa duka hilo katika kitengo cha masoko na uuzaji.

Unaweza kumpata kupitia email address yake Hildavet84@gmail.com au 0753901997 simu yake ya mkononi au kuptia Facebook account yake(Hilda Munisi)Au edwinmalima88@gmail.com


                                          

Guta66.blogspot.com: MACHINGA WAZUA BALAA JIJINI MWANZA .

Guta66.blogspot.com: MACHINGA WAZUA BALAA JIJINI MWANZA .: Baada ya kuwepo kwa fununu ama taarifa zisizokua rasmi kuwa jiji la mwanza linataraji kuanza kufanyiwa usafi wa maeneo yake yote hasa kati...

normal

MACHINGA WAZUA BALAA JIJINI MWANZA .

Baada ya kuwepo kwa fununu ama taarifa zisizokua rasmi kuwa jiji la mwanza linataraji kuanza kufanyiwa usafi wa maeneo yake yote hasa katikati ya jiji hatiamaye usemi huo umetimia.
 
Machinga wanafanya biashara zao katikati ya jiji hasa eneo la MAKOROBOI wamekua katika wakati mgumu kuanzia jana siku ya Ijumaa baada ya kutolewa tamko rasmi wakitakiwa kuondoka eneo hilo.
 
Hali hiyo imekua mbaya zaidi kuanzia asubuhi ya siku ya leo Jumamosi tarehe 3/12/2016 baada ya halmashauri ya jiji kuanza harakati hizo kwa kasi zaidi.

Wakazi wa jijini hapa wamekua katika hofu kubwa kutokana na kuwepo taarifa zisizokua rasmi kuwa machinga hao wamepanga kuibua vurugu kubwa sana kwa wale wote watakao husika kuwaondoa katika eneo hilo.
 
Kitendo kinachowafanya wakazi wa jiji kuwa mbali kabisa na eneo hilo na kushindwa kupata mahitaji yao ya kila sku.
 
Guta66.blogspot.com imefka eneo hilo na kujionea utata huo,na kubahatika kuongea na baadhi ya Chinga hao waliotoa onyo kali kwa viongozi wa jiji na kutohtaji kwekwa kwa sura na picha zao katika chombo hiki cha habari za kila siku.

Edwin84 alipata nafasi pia ya kuonana na askari wa jiji waliokua katika mazingira hayo na walipotakiwa kuongea juu ya suala hili hawakua tayari kutokana na suala la kiusalama na kudai kua wao sio wasemaji rasmi.
                                

ALMASI MADINI ARUDI NA SWEET

Msanii wa kizazi kipya anaetambulika zaidi kwa jina la Almas Madini kutoka Tabora mwenye maskani yake jijini Mwanza amerudi upya na ngoma kali.

Almasi Madini ametoka na ngoma inayokwenda kwa jina la SWEET ikiwa imetayarishwa na kuandaliwa chini ya studio za HB Production za hapa jijini Mwanza Tanzania Rock City.

Pia Almasi Madini ameonekana kua katika harakati za kuhakikisha anapata usimamizi mzuri wa kazi zake,na ameiambia Guta66.blogspot.com alipokutana na Edwin84 kua anahitaji Manager mwenye mtazamo chanya ili kuhakikisha anafika mbali na kutimiza ndoto zake.

Almas Madin ameachia video ya nyimbo hiyo pia.N a kwa mawasiliano unaweza kumchek kuptia edwinmalima88@gmail.com au Hildavet84@gmail.com ili kumfikia kiurahisi.

Guta66.blogspot.com inaendelea na mpango wa kuibua wasanii wachanga.


Thursday 8 September 2016

Guta66.blogspot.com: TRADITIONAL MEDICINE FOR YOUR GOOD HEALTH(DAWA ZA ...

Guta66.blogspot.com: TRADITIONAL MEDICINE FOR YOUR GOOD HEALTH(DAWA ZA ...: Dunia nzima kwasasa inasumbuliwa na uchafuzi wa mazingira na matumizi ya vyakula vilivyo na sumu jambo ambalo hupelekea mlipuko wa magon...

normal

Guta66.blogspot.com: TRADITIONAL MEDICINE FOR YOUR GOOD HEALTH(DAWA ZA ...

Guta66.blogspot.com: TRADITIONAL MEDICINE FOR YOUR GOOD HEALTH(DAWA ZA ...: Dunia nzima kwasasa inasumbuliwa na uchafuzi wa mazingira na matumizi ya vyakula vilivyo na sumu jambo ambalo hupelekea mlipuko wa magon...

normal

TRADITIONAL MEDICINE FOR YOUR GOOD HEALTH(DAWA ZA ASILI KWA AFYA NJEMA)



Dunia nzima kwasasa inasumbuliwa na uchafuzi wa mazingira na matumizi ya vyakula vilivyo na sumu jambo ambalo hupelekea mlipuko wa magonjwa mbalimbali kama fungus,malaria,presha,na mengine mengi.

Ni katika kuhakikisha mwanadamu anapata udhibiti madhubuti juu ya mlipuko wa magonjwa hayo wanasayansi na madaktari wa tiba asilia wamefanikisha kulipatia ufumbuzi janga hili hatari.

Madaktari wa tiba asili wameweza kutengeneza madawa yenye msindiko wa kisasa kabisa,uwezo mkubwa wa kukabiliana na bacteria ama virus sababishi wa magonjwa hayo,madawa yenye uwezo wa kutibu kwa haraka na kwa kasi ya ajabu sana,bila kuacha sumu ndani ya mwili.

Ikiwa ni mchanganyiko wa mimea asilia yenye uwezo wa kuachia viritubisho bora kabisa mwilini na kukuacha ukiwa na ongezeko la damu ama seli hai za mwili baada ya kutibu ugonjwa wako.

Dawa hizi maalum kabisa kwa ajili ya afya ya binadamu zinapatikana katika maeneo ama mikoa yote ndani ya Tanzania na hata nchi za jiran Afrika,Ulaya,Asia,Marekani na kwingineko kote duniani kwa kiwango kile kile na ubora ule ule.

Dawa hizi zimekua na thibitisho halali kabisa wa Wizara ya Afya nchini Tanzania kwa kuthibitishwa na shirika la viwango nchini na kwingineko duniani kwa ajiri ya matumizi ya binadamu.

Dawa hizi hupatikana kwa bei nafuu kote nchini na humlenga kila mwananchi kwa kuzingatia jinsia,umri na hali ya uchumi ili kuhakikisha mwananchi anapata tiba iliyo bora kabisa kwa gharama nafuu zaidi.

Dawa hizi hutibu magonjwa mbalimbali kama kisukari,presha,michango kwa watoto wadogo,huondoa harufu mbaya,magonjwa ya ngozi,shinikizo la damu,kuongeza kuvu za kiume,kupandisha kinga za mwili(CD4),Malaria,Taifodi,Fungus,kupooza,Hutibu meno,Figo, na magonjwa mengine mengi yanayowakabili binadamu.

Kwa mkazi wa Mkoa wa Mwanza waweza kupata dawa hizi kwa urahisi zaidi baada ya kuwepo tawi kubwa kabisa ndani ya jiji hili na tawi hili lenye wafanyakazi wenye taaluma ya utabibu na wenye uwezo wa kukupa huduma bora zaidi popote pale ulipo ndani ya Jiji hili la Mwanza na hata mikoa mingine ndani ya Tanzania bila kuwepo kwa usumbufu wowote.

Kwa kuthibitisha hilo unaweza kujipatia dawa hizi kwa kuwasiliana na mtaalam kutoka katika tawi hilo hapa jijini Mwanza anaepatikana ama anaetambulika kwa jina la Dada Hilda Munisi bila kuchelewa atakufanya ukapata dawa hizo na kutatua tatizo lako kiurahisi zaidi na ufafanuzi wa kina.


Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana nae kwa namba yake ya simu ya kiganja  0753-90 19 97 au 0714-31 04 06.

Dawa bora kwa matibabu bora na matokeo ya afya iliyo bora zaidi.
Karibu sana



Comments system

[facebook] [disqus] [facebook][disqusss] [blogger][facebook] [facebook][blogger] [disqus][facebook][blogger] [blogger][disqus][facebook]

Disqus Shortname