Friday, 17 June 2016

The Return Of Chid Benz In T o Hip Hop Game.




Kalapina freestyle Lyrics
Tuna elekea kuacha dawa,
Nyangema wanapagawa,
wazushi wanapagawa,
Nyumbani Dar Es Salaama,
Chid amekubali kuacha dawa.
 
Chid Benz freestyle Lyrics
Rap from nuksi
Ngoma iko hot
Na kila siku naprovide cent
Im green,smart black and white
Huwezi follow ma steps
Nasaka tu hela
Fos king kama fela
kila siku nachange site
Ngoma itambae wape kigoda wakae
washindane naa ukweli wakibisha washangae
Mjanja sio fala
Imara,image tosha kuongoza msafara
Ruti kila siku,jasho mchana usiku
Bado money ndo kisu
Tuko barabarani tunaelekea bagamoyo
Natunakaza tu mioyo
Tunapiga bao kama shogoyo
 
Haaahaaaaa!! haaaaaaaa!!!!
Thats the fantastic and  Crazy Hip Hop Mc .
 
King Kong Is Back like that.......................

No comments:

Post a Comment

edwinmalima88@gmail.com

Comments system

[facebook] [disqus] [facebook][disqusss] [blogger][facebook] [facebook][blogger] [disqus][facebook][blogger] [blogger][disqus][facebook]

Disqus Shortname