There
is some rumors in our society(Tanzania)
and all over the world that,Ali Kiba is very talented compare to Diamond
Platinum. Some people say Ali Kiba have good and romantic voice when he sing
songs and can attract the audience when he perform on the stage rather than
Diamond.
Others
say Diamond Platinum is the best vocalist in Tanzania and all over Africa at
this time and he make his music internationally,so you can’t compare with Ali
Kiba at all. So which is which!!?
As
you real like this two Artist and you think that they make music
internationally ,give your comments who is best direct by click the link and
give out your comments and your choice by mention name of your artist between these two.The
winner will get a chance for his video to be shown on Climax Tv for 3 day.
''Kiswahili''.
Kuna
uvumi katika umma wa Kitanzania na dunia nzima kwa ujumla kwa sasa kua Ali Kiba
ni msanii kutoka Tanzania mzuri na mwenye
sauti nzuri pindi anapoimba nyimbo zake na anawavutia na kuwapagawisha
mashabiki wake anapokua ana fanya shoo zake katika jukwaa ukilinganisha na
Diamond.
Wengine
wanadai kua Diamond Platinum ni msanii bora Tanzania na Afrika nzima kwa ujumla kwa hivi
sasa na anafanya mziki wake kimataifa,kwahiyo huwezi ukamlinganisha na Ali Kiba
hata kidogo.Kipi ni sahihi? Kama wewe ni mpenzi wa muziki na unafikiri na kuhisi kuwa wasanii wote hawa wanafanya muziki wao kimataifa na ungependa kutoa maoni yako juu ya uvumi huu ulochukua nafasi kubwa sana kwa sasa,Toa maoni yako kwa kubofya katika post hii moja kwa moja na utoe maoni(comments) yako nani mkali kati ya wasanii hawa wawili.
Mshindi kati ya wasanii hawa wawili atapata nafasi
ya kuoneshwa kwa video yake katika page(ukurasa) yetu ya Climax Tv ndani ya muda
wa siku 3 mfululizo kumpa nafasi ya kuonekana zaidi katika kuhakikisha
anatangaza sanaa yake na Taifa letu kwa ujumla kimataifa.
Mwisho
wa shindano hili ni kesho saa 6:oo mchana( The competition end up tomorrow at 12:00 noon).
No comments:
Post a Comment
edwinmalima88@gmail.com