Showing posts with label bongo fleva. Show all posts
Showing posts with label bongo fleva. Show all posts

Saturday, 21 January 2017

Jonacy Azid Kuikimbiza Rock City.

Rapper hatari na mwenye flow za nguvu Jonacy aka Ninja ameendelea kua ktk headline jijini mwanza.

Rapper huyu Mwenye asili ya Rocky City(Ngosha),msukuma mwenye talent ama kipaji cha hali ya juu yuko ktk harakati ya kuipua kibao chake.

Jonacy amefanikiwa kupata nafasi ya kufanya ngoma na msanii kutoka Nigeria na pia beats ya Ngoma hiyo imetayarishwa na Edwin84 wa Black Policy Records na Clon Baba kutoka Nigeria.

Jonacy amewasihi mashabiki Wote ndani ya  Tanzania,East Africa na Africa kwa ujumla kukaa mkao wa kula.

Monday, 16 January 2017

Rapper Jonacy a.k.a Ninja Katika Harakati Za Kuachia Ngoma



Rapper maarufu anaetikisa jiji la Mwanza ama Rock City kwa sasa na akiwa bado anaoneka kama Underground mwenye uwezo mkubwa katika Music wa Hip Hop amekua gumzo.

Jonacy a.k.a Ninja ni moja kati ya wanaharakati wa Hip Hop hatari sana kwa sasa.Jonacy aliongea live na kufunguka juu ya kile kinachosemwa kua ameonekana akiwa katika maeneo fulan ya Lumala Nyasaka Msumbiji studio za Black Policy.

Jonacy amekili  juu ya hilo na kuongea na kulifungukia suala hilo alipokutana na Edwin84 wa Guta66.blogspot.com.

Ngoma hiyo inayotayalishwa na producer anaekuja kwa kasi hivi sasa jijini mwanza katika studio hizo inaonekana kuja kuteka anga la music bongo na hata East Africa kwa ujumla.

Katika ngoma hiyo Jonacy amemshirikisha msanii maarufu Tanzania na jina la msanii huyo ataliweka wazi pale tu ngoma hiyo hatari itakapokamilika kutokana na suala zima la kiuongozi na kuepusha aina yoyote ya kuonekana kutafuta kiki.

Jonacy a.k.a Ninja anakaribisha ushirikiano wa kimawazo,kimusic,sapot,na kuhitaji pia Management nzuri juu ya music aufanyao.

Kwa mawasiliano ama info kibao unaweza kumchek kuptia facebook ac yake # Jonacy Ninja,Twitter ac # Ninja Jonacy na pia kupitia Blog ya kijanja Guta66.blogspot.com.

Saturday, 3 December 2016

ALMASI MADINI ARUDI NA SWEET

Msanii wa kizazi kipya anaetambulika zaidi kwa jina la Almas Madini kutoka Tabora mwenye maskani yake jijini Mwanza amerudi upya na ngoma kali.

Almasi Madini ametoka na ngoma inayokwenda kwa jina la SWEET ikiwa imetayarishwa na kuandaliwa chini ya studio za HB Production za hapa jijini Mwanza Tanzania Rock City.

Pia Almasi Madini ameonekana kua katika harakati za kuhakikisha anapata usimamizi mzuri wa kazi zake,na ameiambia Guta66.blogspot.com alipokutana na Edwin84 kua anahitaji Manager mwenye mtazamo chanya ili kuhakikisha anafika mbali na kutimiza ndoto zake.

Almas Madin ameachia video ya nyimbo hiyo pia.N a kwa mawasiliano unaweza kumchek kuptia edwinmalima88@gmail.com au Hildavet84@gmail.com ili kumfikia kiurahisi.

Guta66.blogspot.com inaendelea na mpango wa kuibua wasanii wachanga.


Sunday, 23 October 2016

Saturday, 6 August 2016

NINAWEZA KUACHIA NGOMA MBILI KWA MPIGO AUGUST 13 – FID Q.

August 13 ni siku special kwa mashabiki wa Fareed Kubanda aka Fid Q. Ni siku aliyozaliwa na mwaka huu ana zawadi nzuri zaidi kwao. “Tutarajie kitu kikubwa na tofauti, watu walishajua tarehe August 13 tunaachia vitu,” ameiambia Guta66.com.
“Tena stock inavyoonesha huenda tukafanya double release lakini tutatoa tu kwasababu stock ni nyingi sio labda ya pressure ya soko au nini,” ameongeza. “Sababu kumbuka mimi ni mtu ambaye natoa ngoma moja kwa mwaka, nimegundua kwamba siku hizi watu wanasikiliza na wanaelewa haraka kwahiyo labda ninaweza nikawafanyia mbili kwa mpigo.”

Tuesday, 12 July 2016

THE RETURN OF THE SUPERMAN J-MOE '' WITH PESA MADAFU''.

J-Moe aka Superman is back with new song PESA MADAFU.

Mchopanga is like a legend on Bongo HipHop and this become true after releasing his track this year which make every one in Tanzania to remember J-Moe.

J-Moe is like a king of Hip Hop in Tanzania and this based on his Lyrics and the way he is rapping.

 Enjoy ''PESA MADAFU VIDEO'' and audio as J-Moe says on his different interviews,also Moe say ..............about his enemies.watch the video.
 


 
 

Comments system

[facebook] [disqus] [facebook][disqusss] [blogger][facebook] [facebook][blogger] [disqus][facebook][blogger] [blogger][disqus][facebook]

Disqus Shortname